Follow us

MAOMBI YA KUFUNGULIWA MACHO YA ROHONI

Tangazo

 

 Mchungaji Laurent Mpoma

MAOMBI YA KUFUNGULIWA MACHO YA ROHONI

Soma:  Waefeso 1:17-23, 2:6

Mungu wa Bwana wangu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, unipe mimi roho ya hekima na ya ufunuo katika kukujua wewe; macho ya moyo wangu yatiwe nuru, nijue tumaini la mwito wako jinsi lilivyo; na utajiri wa utukufu wa urithi wako kwangu mimi mtakatifu jinsi ulivyo; Nijue  ubora wa ukuu wa uweza wako ndani yangu mimi niaminie jinsi ulivyo; kwa kadiri ya utendaji wa nguvu za uweza wako; ulioutenda katika Kristo ulipomfufua katika wafu, ukaniketisha pamoja naye katika ulimwengu wa roho. Ukamweka mkono wako wa kuume katika ulimwengu wa roho; juu sana kuliko ufalme wote, na mamlaka, na nguvu, na usultani, na kila jina litajwalo, wala si ulimwenguni humu tu, bali katika ule ujao pia; ukavitia vitu vyote chini ya miguu yake, ukamweka awe kichwa juu ya vitu vyote kwa ajili ya kanisa; ambalo ndilo mwili wake.

Hivyo kama macho yako ya rohoni umefungwa hauwezi kuona hata Baraka zako zilizopo kwenye ulimwengu wa  roho.

 

Maombi na Maombezi piga/ wasiliana na Mchungaji

Mchungaji Laurent Mpoma

NCHI YA UKOMBOZI MINISTRY +255 714890889

Nchiyaukomboziministrytz.blogspot.com

 

 

 

 


Post a Comment

0 Comments