Mungu
apendwi kwa kuwa umejisikia kumpenda au umeona tu ipo haja ya kumpenda kwa
wakati Fulani,bali viko vitu ambavyo Mungu akiviona anajua tu wewe sasa umeamua
kumpenda kwa dhati sio unajaribu kumpenda.Katika kitu kizuri Mungu hashawishiki
kwa maneno ya kawaida tu bali moyo unao jua unachofanya ndio unao mtisha Mungu.
Sio kwa
vigezo vyako ndio ukaweze kumshawishi Mungu akupende bali ni kwa vigezo vyake, ikiwa
kwa ni kwa vigezo vyako basi utajipenda mwenyewe na kama kwa vigezo vyake basi
yeye atakupenda.
i.maisha ya
kuacha vyote kwa ajili ya kristo kwa ukamilifu
unapoamua
kumfuata yesu uyashikilie hayo maamuzi ulio yachukua na moyo wako ukushuhudie
pasipo shaka ndani yako.
Ni jambo la
muhimu kwa watu wanao amua kupendana ili waweze kuzidi na kushamili lazima
asiwepo mtu mwingine akawa na nafasi sawa ndani yenu kama mlivyo.
Hali ya
kuacha vyote haimaanishi kwamba uache kusoma kama unasoma,kuacha kazi kama
unafanya kazi au una fanya shughuli
yeyote ya halali ukaiacha sivyo.
Bali ni vile
moyo wako unavyo yapa kipaumbele/uzito mambo ambayo yanamfanya Mungu kuzidi
ndani ya maisha yako.
Tamani sana
maisha yako yawe na muunganiko wa kweli na Mungu yenye utiisho,mamlaka na nguvu
pamoja na ushindi.
Tamani kuona
maisha yako yakimuonyesha Mungu katika mwenendo mzima ulionao watu waone
huruma,upendo,uponyaji,uweza wa Mungu penda kuona Mungu akiyafurahia maisha
yako kuliko mtu yeyote hata mpenzi wako.
Mathayo
16:24-25
Kubali yote
ya kukute lakini kamwe yasivuruge Mungu katika maisha yako yakaleta utengano
wako na Mungu.
Yohana 16:27
ii.maisha ya
kuangalia Mungu anakuonaje na wala sio wanakuonaje?
Siku zote
motto mwenye akili uangalia wazazi wake wapendacho na si majirani wanachosema
kwakua utambua furaha ya wazazi ndio furaha yake.
Mithali 10:1
siku zote
watu wanakuona vile unavyoonekana hawa wezi kukuongeza au kukupunguza bali
nafasi yao ni kusema katika hali ya kukosoa au kupongeza kulingana na mtazamo
wake.
Una haja ya
kuogopa hao bali unao nafasi ya kuwasikiliza na kuwa heshimu lakini mmbo
mengine yote yana baki ndani yako binafsi kwani wewe ndio unajipenda hasa
kuliko mwingine.
Maisha
yasiyo ambatana na hofu ya kibinadamu bali ni hofu ya Mungu iliyo katika hali
ya kupenda tena kwa furaha.
Maana Mungu
katika wengi anakuangalia wewe binafsi hivyo katika wengi muangalie yeye
binafsi.
Mhubiri 7:26
Luka
12:22-24
iii.maisha
yasiyo tazama aibu ya sasa bali aibu ya baadae(aibu ya milele)
Ishi maisha
ya kutopata aibu ya milele kuliko aibu ya sasa isiyo dumu, hatima ya wanadamu
iko mikononi mwa MUNGU.
Mathayo
10:32-33
Luka
12:20-21
Hakuna
kisichikuwa na mwisho katika ulimwengu huu bali ni NENO LITOKANALO KINYWANI MWA
MUNGU.
Ishi isha
ambayo kishindo cha mbingu kitaitikia na kukukubali na kusema kweli wewe ni mtu
uliye amua kumpenda Mungu.
iv.maisha ya
kufungwa nira ya kristo
haya ni
maisha ya kumjua zaidi kristo kuliko chochote kwa kuwa ndicho kilichopewa
nafasi kubwa ndani ya moyo mwake.
Unaposikia
kitu kinachoitwa Mungu moyo wako unashtuka haoni nafasi ya kutulia kwa kuwa
hauoni jambo ambalo litazuia kitu chochote kitazuia upendo wako kwake.
Moyo wako
hutamani/haupendi kuona akisijisikia vibaya kwa ajili yako wewe unatamani kuona
siku zote anakuwa na furaha pindi anapoona uwepo wako.(wewe ndio furaha yake)
Matendo
15:26
Mathayo
11:28-30
Utayari wako
uwe kwaajili ya Mungu tu kwa ukamilifu wote mtumikie bwana wako pasipo shaka
yoyote tena katika hali ya furaha isiyokoma.
Matendo
21:13
v.maisha ya
kujenga mwili wa kristo
Na wala sio
maisha yanayowaza kwa ajili yake binafsi bali ni mawazo yaliyojaa nimfanyie
nini Mungu leo kizuri kuliko jana, hii ni hali muhimu sana kwa watu
wanaopendana uwa wanawaza kwa ubora siku kwa siku unaongezeka.
Unatamani
kuona furaha yake ikizidi siku hadi siku na sio ipungue ili linakuwa ni jukumu
lako kwa kuwa UNAMPENDA.
Huu ndio
moyo ambao Mungu anautafuta ambao utasimamisha ufalme wake na kuimalika na kuwa
wakumu usio tikisika milele.
Mathayo
16:18
Waefeso
4:11-12
MUNGU AKUBARIKI SANA KUJIFUNZA MANENO YA MUNGU
MAOMBI NA MAOMBEZI
NCHI YA UKOMBOZI MINISTRY
(HEMA LA MAOMBI NA MAOMBEZI)
PHONE: +255714890889
WHATSAP: +255762756542
TUMA MAHITAJI YAKO LEO MCHUNGAJI ATAKUOMBEA NA KUKUPATIA
USHAURI.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
SOMA : (2 MAMBO YA
NYAKATI 1:7: Usiku ule Mungu akamtokea
sulemani, akamwambia, omba utakalo nikupe).
Tunaupanuzi wa kiwanja cha kanisa ambacho kinahitaji
shilingi milioni tatu (3,000,000/=). Kiasi chochote tunapokea. MUNGU akubariki
sana kwa utoaji wako. Hakika Amini Mungu anakwenda kukutana na wewe kama
sulemani alivyotokewa usiku ule sasa ni zamu yako.
UNAWEZA KUTUMA HAPA
MPESA: +255762756542……………..JINA: LAURENT MPOMA
TIGO PESA: +255714890889…………JINA: LAURENT MPOMA
AIRTEL MONEY: +255782859946…….JINA :LAURENT MPOMA
CRDB BANK:
0152363022800………LAURENT ELIAS MPOMA
NMB BANK: 50810025078……..LAURENT ELIAS MPOMA

0 Comments