SHALOM! SHALOM! SHALOM
KANISA LA ELIM PENTEKOSTE TANZANIA.TAZAMA PICHA MBALI MBALI ZA MATUKIO YA SIKUKU YA KUSIMIKA MAASIKOFU BABATI - MANYARA TAREHE 26/5/2023. ILIKUWA HIVI.>>
Picha hapo juu ni watu wakiwa katika hema Babati - Manyara tayari kuanza shughuli ya kusimika Maaskofu.
Picha hapo juu sifa ikiendelea.
Picha hapo juu ni kwaya ya Elim Pentekoste -Mipilo wakiimba katika sherehe ya kusimika Maaskofu Babati- Manyara Tanzania.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
0 Comments