Follow us

Mchungaji Kiongozi (kuhani) Laurent Mpoma anakushirikisha baraka hizi na Mungu akusaidie sana.

Tangazo

 Mchungaji Kiongozi (kuhani) Laurent Mpoma wa Kanisa la Elim Pentekoste (Nchi ya Ukombozi) lililopo Singida Mjini Mtaa wa Mwaja anakushirikisha baraka hizi na Mungu akusaidie sana.

Hiki ni kiwanja cha Kanisa. Tunatarajia kuanza ujenzi wa Hekalu la Mungu kwa ajili ya watu kumwabudu Mungu hapa 

sapoti yako ni ya maana sana .





ili kufanikisha ujenzi huu unaweza kuchangia chochote kati ya hivi hapo chini au kiasi chochote cha fedha na Mungu akubariki sana. Mchungaji kiongozi (kuhani) atakupigia simu na kukuombea moja kwa moja.

TUNAHITAJI.

1. TOFALI -1566

2. BATI - 55

3. MBAO - 100

4. MISUMARI - Bati kg 12, nchi 4 kg 12, nchi3 kg 12, nchi mbili na nusu kg 12, nchi 5 kg 12

5. makoa 10

6. sument mifuko 40

7. mchanga tipa 9

8. nondo 12

9. usafiri 250,000/=

10. madrisha 4

11. milango 3

12. hela ya fundi 1,000,000/=

13. kokoto tipa 1 - 250,000/=


UNAWEZA CHANGIA KWA SIMU.

1. M-PESA +255762756542. JINA LAURENT MPOMA

2.AIRTEL MONEY: +255782859946 . JINA LAURENT MPOMA

3. TIGO PESA: +255714890889. JINA LAURENT MPOMA


KABLA YA KUTUMA WASILIANA NA MCHUNGAJI KIONGOZI (KUHANI) LAURENT MPOMA.


MUNGU AKUBARIKI SANA

                         

Post a Comment

0 Comments