Follow us

SOMO: VIZUIZI VINAVYO FUNGA MAFANIKIO YA MKRISTO.

Tangazo

 


SOMO: VIZUIZI VINAVYO FUNGA MAFANIKIO YA MKRISTO.

 1. Kushindwa kusamehe

  2. Kutokuondoa nadhiri kwenye uso wa Mungu, hivyo ndio vizuizi vikuu vinavyo funga mafanikio ya wakristo.

 UFAFANUZI KUHUSU KUSHINDWA KUSAMEHE

 Kushindwa kusamehe ni hali inayojenga hila kwenye moyo wa mtu anaye mcha Mungu, na mara nyingi hali hii ya hila katika moyo wa mkristo humletea hathari zifuatazo :

  i). Kupoteza hali ya kumsikia Roho Mtakatifu.

  ii). Moyo kushambuliwa na mawazo mabaya

  iii). Kupoteza hali ya kumcha Mungu.

 Kushindwa kusamehe ni hali inayo funga baraka za mtu kwenye uso wa Mungu, kwa sababu mkristo ambaye ameshindwa kusamehe Kibiblia amekengeuka Agano na Mungu, maneno haya hata Biblia imezungumza Mathayo 6: 14-15.

 KUSAMEHE NI TENDO LA KIIMANI

Kitendo cha mimi .kutangaza msamaha kwenye ulimwengu wa Roho ninakuwa nimejiunganisha na nguvu ya Mungu yenye uwezo wa kunitoa sehemu moja kimafanikio na kwenda sehemu nyingine kimafanikio, vile vile kunakuwa na Roho kamili ya KiMungu katika kuyalinda maisha yangu.

  •  Nguvu ya Mungu inaishi katika maisha ya mtu mwenye tabia ya kusamehe na kusahau .
  •  Nikitaka kuishi na upako wa kubarikiwa inatakiwa niwe mtu wa kusamehe na kuachilia .Nikitaka kubarikiwa na Mungu inatakiwa nijichunge na hila isiwepo kwenye moyo wangu, kwa sababu hila ni Roho kamili ya shetani, vile vile hila hupofusha macho ya kiimani kwa mtu anaye mtegemea Mungu Ee Yesu nisaidie mimi.
  • Mungu habariki uovu hata siku moja kwa sababu yeye sio dhalimu,kinacho takiwa kwangu kama mtu ninaye amini ni kuyalinda maisha yangu ya wokovu yasinajisike.

 WAKRISTO WENGI TUNAISHI MAISHA YA DHAMBI KWA SABABU TUNAENDEKEZA UBINADAMU, KUENDEKEZA UBINADAMU MARA NYINGI HUMFANYA MTU AWE KATIKA MAZINGIRA HAYA :

 i).Kushindwa kupambanua Roho anapo sema nawewe au anapokuonya

  ii). Mara  nyingi hutafakari ubatili(uharibifu  

 iii). Moyo kushindwa kukubali maonyo, Kwa ufupi mtu wa aina hii haonyekagi.

 iv). Kujawa na kiburi yaani majivuno

Katika kutafakari Neno la Mungu ndiko ninako pata ufahamu wa kujiongeza zaidi kiroho.

 Kushindwa kusamehe ni hali inayo ondoa utulivu na usikivu katika moyo wa mtu aliye jiandaa kupokea kitu kutoka kwenye uso wa Mungu.


<<<<<MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KUJIFUNZA MANENO YA MUNGU>>>>>>>>>>

SOMA UJUMBE HUU NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YAKO LEO ILI MUNGU AKUPANDISHE VIWANGO VYA JUU.

2 Mambo ya Nyakati 1:7-12

Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani, akamwambia, Omba utakalo nikupe. Sulemani akamwambia Mungu, Umemfanyia baba yangu Daudi fadhili kuu, nawe umenimilikisha mimi badala yake. Basi sasa, Ee BWANA Mungu, na limyakinie baba yangu Daudi neno lako; maana umenitawaza niwe mfalme juu ya watu wengi kama mavumbi ya nchi. Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwatawala watu wako hawa walio wengi? Naye Mungu akamwambia Sulemani, Kwa sababu neno hili lilikuwamo moyoni mwako, wala hukujitakia mali, wala utajiri, wala utukufu, wala maisha ya wakuchukiao, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi; bali umejitakia hekima na maarifa, upate kuwatawala watu wangu, niliokutawaza juu yao; basi hekima na maarifa umepewa; nami nitakupa mali, na utajiri, na utukufu, kupita walivyokuwa navyo wafalme wote waliokuwa kabla yako, wala baada yako hapatakuwa na mtu atakayekuwa navyo.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> 

KANISA LA ELIM PENTEKOSTE NCHI YA UKOMBOZI- MUHAWA SINGIDA MJINI.

(NENO, MAOMBI NA MAOMBEZI)

Tuna ununuzi wa vifaa kwa ajili ya Mkutano wa Injili. Unaweza kuchangia kwa ajili ya kuhubiri injili na Mungu atakutana na wewe na kuzungumza na wewe na atatenda mambo makubwa sana kwenye maisha yako kuanzia leo.

TUNAHITAJI KUNUNUA.

1. VITAMBAA VYA MADHABAHU........TSHS, 60000/=

2.MAIKI WIRELESS....4......TSHS, 240,000/=

3. MAIKI ZA WIRE......4.......TSHS, 100,000/=

4. TRUBAI...........4..........TSHS, 60,000/=

5. MABATI  20@ 27,000......JUMLA NI TSHS, 540,000/=

6. DRAMS......1........TSHS, 1,100,000/=

7.SPEAKER FIDEK 3......TSHS, 2,100,000/=

WASILIANA NA MCHUNGAJI ILI MCHUNGAJI AKUOMBEE PAPO HAPO UTAKAPOCHANGIA KIMOJA WAPO KATI YA HIVYO HAPO JUU AU CHOCHOTE ULICHO NACHO TUNAPOKEA.

MUNGU AKUBARIKI SANA, AKUFUNGUE KWENYE HILO UNALOPITIA, MUNGU AKUINUE KATIKA FAMILIA, UCHUMI, KAZI NA MENGINEYO UNAYOHITAJI KATIKA MOYO WAKO.

NAMBA ZINAZOTUMIKA KATIKA MCHANGO NI NAMBA ZA MCHUNGAJI TU.

1. M-PESA  0762756542.....JINA: LAURENT MPOMA

2. AIRTEL MONEY: 0782859946....JINA: LAURENT MPOMA

3: TIGO PESA: 0714890889.....JINA : LAURENT MPOMA

>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> 

KWA MSAADA ZAIDI NA MAOMBEZI:

WASILIANA NA MCHUNGAJI AU

FIKA KANISANI,

KANISA LA ELIM PENTEKOSTE NCHI YA UKOMBOZI

(NENO, MAOMBI NA MAOMBEZI)

AU WASILIANA NASI KUPITIA

FACEBOOK: nchi ya ukombozi ministry

Follow us on YOUTUBE: Upenyo Wa Mungu Tv

TELEPHONE: +255762756542

WHATSAP: +255762756542

BLOG: NCHI YA UKOMBOZI MINISTRY

http:// nchiyaukomboziministrytz.blogspot.com/

 

MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KUJIFUNZA MANENO YA MUNGU.

 

 

Post a Comment

0 Comments