KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA
ROHO KWA NGUVU YA MAOMBI
2. KUUFAHAMU
NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO KWA NGUVU YA MAOMBI
3. 2Petro
1:3-4 3 Kwakuwa uweza wake (yaani,nguvu zake za) uungu umetupatiamambo yote
tunayohitaji kwa ajili ya uzima na uchaji wa Mungu, kwa kumjua Yeye aliyetuita
kwa utukufu Wake na wema Wake mwenyewe.
4. 2Petro
1:3-44 Kwa sababu hiyo, ametukirimia ahadi Zake kuu na za thamani kupitia mambo
haya, ili kwa kupitia hayo mpate kuwa washiriki wa tabia za uungu, mkiokolewa
na uharibifu (au upotovu) ulioko duniani kwa sababu ya tamaa mbaya.
5. KUSUDI LA
MUNGU KWA KANISA Summary KUSUDI LA KANISA1. KUMILIKI NA KUTAWALA
6. KUSUDI LA
MUNGU KWA KANISA Summary KUSUDI LA KANISA1. KUMILIKI NA KUTAWALA2. KUSTAWI NA
KUONGEZEKA
7. KUSUDI LA
MUNGU KWA KANISA Summary KUSUDI LA KANISA1. KUMILIKI NA KUTAWALA2. KUSTAWI NA
KUONGEZEKA3. KUMSIFU NA KUMWABUDU
8. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Mwanzo 1:26,28 26 Tufanye mtu kwa sura yetu nakwa mfano wetu
wakatawale dunia na vyote tulivyoviumba juu ya uso wa dunia.
9. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Mwanzo 1:26-1828 Mungu akaumba Mwanaume na Mwanamke, akawaweka
katika bustani ya dunia, akawaambia, zaeni mkaongezeke na kuitawala (kuitiisha)
dunia.
10. KUSUDI
LA KANISA Ufunuo 5:9-109 Wewe Mungu … unastahili heshima zote, kwa
sababuulichinjwa na kwa damu yako ukamnunulia Mungu watu kutoka katika kila
kabila, kilalugha, kila jamaa na kila taifa. (yaani kanisa).
11. KUSUDI
LA KANISA Ufunuo 5:9-1010 Nawe umewafanya hawawawe Ufalme na Makuhani
wakumtumikia Mungu wetu, nao wanamiliki dunia.’’
12. KUSUDI
LA MUNGU KWA KANISA Ufunuo 5:8-10 Ufalme MakuhaniKutawala Ibada
13. KUSUDI
LA MUNGU KWA KANISA Ndio maana tunapokumbuka kuzaliwa kwa Bwana Yesu duniani,
(kama Adam wa pili), tunakumbushwa kwamba,alizaliwa kwanza kama Mfalme na sio
Kuhani, ili kurudisha mamlaka ya Mungu duniani.
14. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo, kusudi la awali la Mungu ni kumwezesha mwanadamu
kuitawala dunia (pamoja na Mungu) ili mwanadamu awe na maishamazuri
yatakayomwezesha kuwa chombo kizuri cha ibada.
15. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Zaburi 8:4-8Mwanadamu ni nani hata umemwangalia
hivi?Umemfanya mdogo kidogo tu kuliko Mungu,
16. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Zaburi 8:4-8ukamvika taji ya Utukufu naheshima, ukamtawaza
juu yakazi za mikono yako, ukavitia vitu vyote chini ya miguu yake…
17. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Zaburi 8:4-8Hilo neno “juu ya” = (Over All) = Mkuu = Mtawala
“Mashal” = Mfalme (Kiebrania) = Mwakilishi = Mungu
18. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 16:18-19 18 Na milango ya kuzimuhaitaweza kulishinda
kanisa langu nitakalolijenga (kwa mfumo huu).
19. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 16:18-19 19 Kwa maana nitawapafunguo za Ufalme, na
mambo mtakayoyafunga (ninyi) yatakuwa yamefungwa (mbinguni);
20. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 16:18-19 19 … na mambo mtakayoyafungua (ninyi)
yatakuwa yamefunguliwa (mbinguni)
21. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Zaburi 115:16Mbingu ni mbingu za Bwana, bali nchi amewapa
wanadamu
22. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo, kusudi la awali la Mungu ni kumwezesha mwanadamu
kuitawala dunia (pamoja na Mungu) ili mwanadamu awe na maishamazuri
yatakayomwezesha kuwa chombo kizuri cha ibada.
23. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Ili kumwezesha mwanadamukuitawala dunia pamoja na Mungu,
Mungu alimuumbia mfumo wauungu katika utu wake wa ndani, ili atende kazi duniani
kwa kutumia Nguvu za Mungu. (Mwanzo 1:26-28)
24. KUSUDI
LA MUNGU KWA KANISA Mwanzo 1:26-18 Kwanini ni lazima Kuitawala Dunia?
(kuitiisha)
25. Kwanini
ni lazima kuitawala Dunia? Kuna kuna upinzani wa adui shetani (vita na
mapambano)
26. VITA VYA
ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 177 “Kulikuwa na vita mbinguni,Malaika Mkuu wa
majeshi ya Mungu, Malaika Mikaeli, akapigana na yule joka …
27. VITA VYA
ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 3 “ambaye ni baba wa uongo, na mkiani mwake
anakokota theluthi (1/3) ya nyota zambinguni (malaika wa Mungu) …
28. VITA VYA
ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 7 “Kulikuwa na vita mbinguni,katika ya Mikaeli,
malaika Mkuu wa majeshi ya Mungu, na yule joka (ibilisi shetani) na malaika
zake aliowadanganya …”
29. VITA VYA
ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 8 “Nao hawakushinda, walamahali pao
hapakuonekana tena mbinguni. 9 Yule joka aitwaye ibilisi na shetani, akatupwa
duniani, na malalika zake wakatupwa pamoja naye.
30. VITA VYA
ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 1710 “Nikasikia sauti kuu mbinguni,ikisema, sasa
kumekuwa wokovu na nguvu na ufalme wa Mungu wetu na mamlaka ya Kristo wake, kwa
maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu”.
31. VITA VYA
ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 1711 “Nao wakamshinda yule joka na malaika zake,
kwa damu yamwana kondoo na kwa neno la ushuhuda wao, ambaohawakupenda maisha
yao hata kufa”.
32. VITA VYA
ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 1712 “Kwahiyo shangilieni enyi enyiwote mkaao
mbinguni; lakini ole wa ninyi mkaao duniani! Kwamaana yule joka ibilisi,
ameshuka kwenu, ana hasira nyingi akijua ana wakati mchache!
33. VITA VYA
ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 17 “Joka akamkasirikia yule mwanamke (kanisa),
akaendaafanye vita juu wa wazao wake wazishikao amri za Mungu nakuwa na
ushuhuda wa Yesu …”
34. Kwanini
ni lazima kuitawala Dunia? Kwasababu kuna vita Mathayo 16:18-19Ndio maana Bwana
Yesu alisema ‘Nitalijenga Kanisa langu, wala milango ya kuzimu (nguvu zagiza)
haitaweza kulishinda kanisa langu nitakalolijenga’
35. VITA VYA
ROHONI Kwahiyo, ni lazima tutumie mamlaka ya Mungu duniani, kwasababu, kuna
vita naupinzani (mashindano), kati yashetani na watoto wa Mungu (kanisa la
Bwana Yesu).” (Mathayo 16:18)
36. Kwanini
ni lazima kuitawala Dunia? Kutawala Ni Mfano na Asili ya Baba yetu ‘Mfalme wa
wafalme’
37. Kwanini
ni lazima kuitawala Dunia? Ni Mfano/Asili ya Baba yetu Mwanzo 1:26,28 ‘Tufanye
mtu kwa sura yetu na kwa mfano wetu, wakatawaledunia na vyote tulivyoviumba juu
ya uso wa dunia’.
38. KUSUDI
LA MUNGU KWA KANISA Mwanzo 1:26-18 Kwanini ni lazima Kuitawala Dunia?
(kuitiisha)
39. Kwanini
ni lazima kuitawala Dunia? Kuna kuna upinzani wa adui shetani (vita na
mapambano)
40. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Shetani ametangaza vita na wototo wote wa Mungu,kwasababu
Mungu amempiga na kumfukuzwa kutoka katikambingu takatifu na kutoka katika cheo
chake cha kuongoza ibada za malaika wa mbinguni.
41. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Hivyo, Shetani anachowinda, ni kumlipizia Mungu kisasi;
lakini kwakuwa hawezi kurudi juu kumlipizia Baba kisasi, ndiomaana anaamua
kumalizia hasira zake zote kwa watoto wa Mungu, yaani mimi na wewe
42. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo, Shetani anachokifanya, ni kutafutanamna ya kumpiga
binadamu na mazingira yake, ili kumvurugiaMungu ibada, anayoitamani sanakutoka
duniani (kwa watoto wa Mungu).
43. KUSUDI
LA MUNGU KWA KANISA KUSUDI LA KANISA Ni Kanisa liweze kulimiliki na Kutawala
dunia na mazingirayake, ili binadamu aweze kuishimaisha mazuri na kuwa chombo
kizuri cha kumsifu na kumwabudu Mungu aliye juu.
44. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGUHivyo, Nguvu za Mungu ni za lazima katika maisha, ili
kumwezesha mwanadamu, kumshinda adui shetani na vizuizi vyake na kumwezesha
kutawala maisha yake na mazingira yake. (Mwanzo 1:26-28; Zaburi 8:4-8)
45. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGUKwahiyo, Nguvu za Mungu ni za lazima, ili kumwezesha mwanadamu
kuitawala dunia pamoja na Mungu, nakumwezesha mwanadamu awe chombo kizuri cha
ibada, (Mwanzo 1:26-28)
46. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGUHivyo, Mungu anapokupa Nguvu zake, kwa ajili ya maisha yako
duniani, anatafuta kukulinda wewe, ili pia kuilinda na ibada yake inayotoka
katika maisha yako (inayotoka duniani). (Yohana 4:23)
47. VITA VYA
ROHONI Ni kwamba, kuna mapambano, kuna vita na upinzani(mashindano), kati ya
shetani na watoto wa Mungu (kanisa la Bwana Yesu Kristo).” (Mathayo 16:18-19)
48.
KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO KWA NGUVU YA MAOMBI Yakobo 5:16-18
49. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Yakobo 5:16-1817 Eliya likuwa mwanadamu kama sisi, lakini
aliomba kwa bidii, mvua isinyeshe juu yanchi, na mvua haikunyesha juu ya nchi
kwa muda wa miaka mitatu (3) na miezi sita (6).
50. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Yakobo 5:16-1818 (baada ya miaka mitatu nanusu) Eliya akaomba
tena kwabidii, ili mvua inyeshe, na mvua ikanyesha, na nchi ikazaa matunda
yake.
51. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Yakobo 5:16-1816 Kwahiyo basi, vivyo hivyo na ninyi,
ombeaneni ili mpate kuponywa; kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa
bidii. (Hosea 4:6, Warumi 10:2)
52. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Kwa mfano;Yesu na Petro kutembea juu ya maji. Mathayo
14:25-33
53. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 14:25-3325 Wakati wa zamu ya nne yausiku (ni kati ya
saa 9 na saa 12 alfajiri), Yesu akawaendea wanafunzi wake akiwa anatembea juu
ya maji (kinyume na kanuni za asili).
54. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 14:25-33 26 Wanafunzi wakewalipomwona akitembea juu
ya maji, waliingiwa na hofu kuu, wakasema, ‘‘Ni mzimu.’’ Wakapiga yowe kwa
kuogopa.
55. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 14:25-3327 Lakini mara Yesu akasema nao, akawaambia,
“Jipenimoyo! Ni Mimi, msiogope.’’ 28Petro akamjibu, ‘‘Bwana, ikiwa ni Wewe,
niambie nije kwako nikitembea juu ya maji.’’
56. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 14:25-33 29 Yesu akamwambia, “Njoo.’’ Basi Petro
akatoka kwenyenchombo, akatembea juu ya maji kumwelekea Yesu.
57. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 14:25-3330 Lakini alipoona upepo mkalialiingiwa na
hofu, naye akaanzakuzama, huku akipiga kelele,“Bwana, niokoe!’’ 31 Mara
Yesuakanyosha mkono Wake nakumshika, akamwambia, …
58. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 14:25-33 31 … “Wewe mwenye imanihaba, kwa nini uliona
shaka?’’ 32 Nao walipoingia ndani ya chombo, upepo ukakoma.
59. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 14:25-33 33 Ndipo wote waliokuwamo ndani ya kile
chombo wakamwabudu Yesu wakisema,“Hakika, Wewe ndiwe Mwana wa Mungu.’’
60. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Makusudi ya Mungu ni sisikanisa lake, tukue kiroho na tuwe wa
mfano wa Yesu mwenyewe Yohana 14:12
61. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Yohana 14:12 “Amin, amin, nawaambia, kila mtu aniaminiye
Mimi, kazi nizifanyazo, yeye nayeatazifanya, na hata kubwa kuliko hizi
atazifanya, kwa sababu Mimi ninakwenda kwa Baba.
62. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-1511 Yeye ndiye aliyeweka wengine kuwa mitume,
wengine kuwa manabii, wengine kuwa wainjilisti, wengine kuwa wachungaji na
wengine kuwa walimu,
63. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-1512 kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu kwa
ajili ya kazi za huduma, ili kwamba mwili wa Kristo upate kujengwa.
64. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-15 13 mpaka sote tutakapoufikia umoja katika
imani na katikakumjua sana Mwana wa Mungu na kuwa watu wazima kiroho, hata
kufikia cheo (level) yakipimo cha ukamilifu wa Kristo.
65. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-15 14 Ili tusiwe tena watotowachanga,
tukitupwatupwa huku na huku na kuchukuliwa na kila upepo wa mafundisho kwa
hilaza watu, kwa ujanja, kwa kufuata njia zao za udanganyifu.
66. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-1515 Badala yake, tukiambiana kweli kwa upendo,
katika mambo yote tutakua, hata tumfikie Yeye aliye kichwa, yaani, Yesu Kristo.
67. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Kwa mfano;Petro na Yohana kumponya kilema wa miaka 40.
Matendo 3:1-10
68. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Matendo 3:1-10 1. Siku moja Petro na Yohana walikuwawanapanda
kwenda hekalunikusali yapata saa tisa alasiri.
69. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Matendo 3:1-102 Basi palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa kiwete
tangu kuzaliwa. Alichukuliwa na kuwekwa kwenye lango lahekalu liitwalo Zuri,
kila siku ili aombe msaada kwa watu wanaoingia hekaluni.
70. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Matendo 3:1-103 Huyu mtu akiwaona Petro na Yohana wakikaribia
kuingia hekaluni, aliwaomba wampe sadaka.
71. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Matendo 3:1-10 4 Wakamkazia macho, kishaPetro akamwambia,
‘‘Tutazame sisi.’’5 Hivyo yule mtu akawatazama, akitazamia kupata kitu kutoka
kwao.
72. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Matendo 3:1-10 6 Ndipo Petro akamwambia, ‘‘Sina fedha wala
dhahabu,lakini kile nilicho nacho ndichonikupacho. Kwa jina la Yesu wa Nazareti
simama, uende.’’
73. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Matendo 3:1-10 7 Petro akamshika yule mtu kwa mkono wa
kuumeakamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikapata nguvu.
74. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Matendo 3:1-108 Akaruka juu na kusimama, akaanza kutembea.
Kishaakaingia Hekaluni pamoja na Petro na Yohana, hukuakitembea na kurukaruka
na kumsifu Mungu.
75. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Matendo 3:1-109 Watu wote walipomwona akitembea na kumsifu
Mungu, 10 wakamtambuakuwa ni yule mtu aliyekuwaakiketi nje ya hekalu penye
lango liitwalo Zuri …
76. KUTEMBEA
NA NGUVU ZA MUNGU Matendo 3:1-1010 … akiomba msaada, nao wakajawa na mshangao,
wakastaajabu juu ya yale yaliyomtukia.
77. Lengo
letu ni kujifunza KUITAMBUA ASILI YA MUNGU ILIYO NDANI MWETU
78. ILI
ITUWEZESHE KUJUA NAMNA YA KWENDA MBELE ZA MUNGU AUNAMNA YA KUOMBA SAWA SAWA
79. NINI
MAANA YA KUOMBA Tafsiri, Kuomba, ni namna ya mtu, kwenda katika ulimwengu wa
roho, ili kuwasiliana na Mungu wake, na kuuathiri ulimwengu wa roho,
katikanamna ambayo, itakayoleta mabadiliko katika ulimwengu huu wa mwili.
80. NINI

81. NINI

82. NINI
MAANA YA KUOMBA Kwasababu, Mungu ni Roho, (Yohana 4:23-24) Hii ina maana
kwamba, Mungu anaishi katika ulimwengu wa roho.
83. NINI
MAANA YA KUOMBA Na Kwasababu … Kuomba ni ‘namna ya mtu kumwendea Mungu’
(Waebrania 11:6) “Kila mtu amwendeaye Mungu, inampasa kuamini kwamba Munguyupo,
na huwapa thawabu, wale wote wamtafutao”
84. NINI
MAANA YA KUOMBA Kwahiyo, Kuomba, ni namna ya mtu, kwenda au kuingia katika
uwepo wa Mungu,(katika ulimwengu wa roho)…
85. NINI
MAANA YA KUOMBA Tafsiri,… ili kuongea na Mungu …
86. NINI
MAANA YA KUOMBA Tafsiri,… na kuuathiri ulimwengu wa roho, katika namna ambayo …
87. NINI
MAANA YA KUOMBA Tafsiri, … itasababisha na kuletamabadiliko katika ulimwengu wa
mwili.
88. NINI
MAANA YA KUOMBAMabadiliko gani hayo?
89. NINI
MAANA YA KUOMBA Mabadiliko gani hayo? Maisha mazuri, Familia nzuri, masomo
mazuri, Kazi nzuri,Biashara nzuri, Maendeleo Mazuri, Afya nzuri, Tabia nzuri,
Hudumanzuri, Serikali nzuri, Taifa zuri, Nchi nzuri, Kanisa zuri, jamii ya watu
wazuri, nk. nk. nk.
90. NINI

91. NINI
MAANA YA KUOMBA Mabadiliko gani hayo? Maisha mazuri, Familia nzuri, Masomo
mazuri,, Kazi nzuri,Biashara nzuri, Maendeleo Mazuri, Afya nzuri, Tabia nzuri,
Hudumanzuri, Serikali nzuri, Taifa zuri, Nchi nzuri, Kanisa zuri, Jamii ya watu
wazuri, nk. nk. nk.
92. NINI

93. NINI

94. NINI

95. NINI

96. NINI

97. NINI

98. NINI

99. NINI

100. NINI

101. NINI

102. NINI

103. NINI

104. NAMNA
YA KUOMBA Bwana Yesu anasema;“Ombeni nanyi mtapewa,Kwa maana kila aombaye
Hupokea (hupewa) … (Mathayo 7:7-11)
105. NAMNA
YA KUOMBA Na wachache wanaoomba Biblia anasema;“Mnaomba na hata
hampati,Kwasababu mnaomba vibaya” (Yakobo 4:3)
106. NAMNA
YA KUOMBABwana Yesu anasema; “Hata mpaka sasa hamjaomba ombeni (vizuri) basi,
ili furaha yenu, iwe timilifu” (Yohana 16:24)
MUNGU AKUBARIKI SANA
TUMA MAHITAJI HAPA AU PIGA
MCHUNGAJI LAURENT MPOMA
0762756542
WATSAP: 0762756542
0 Comments