SOMO: KUVUNJA MAAGANO YA KICHAWI.
Tangazo
SOMO: KUVUNJA MAAGANO YA KICHAWI.
MAAGANO:
ni makubaliano au mikataba au mafungamano yanayowekwa kati ya pande kuumbili au zaid ya mbili ili kupata kitu fulani au kufikia hatua fulani.
Maagano yanaweza kufanyika katika majina,
vyakula, sehemu watu wanayoishi, uzao Fulani.
mwanzo 17:1-8, mwanzo 15:4-7, mwanzo21:18.
Koo nyingindani ya africa zilikuwa zikitumaini katika miungu kama vile mawe,mitimirefu,nyoka wakubwa,vinyago na aina nyingine nyingi za miungu kutokana namazingira waliokuwa nayo.lakini ukweli na kwamba hizo zote n njia tofautitofaut za kumuabudu shetani...akitoa baraka zake kupitia vitu hivo ambavyowaanzilishi wa koo zetu walikuwa wameweka tumaini.
Kila agano
la kiimani lina matokeo yake: nayo matokeo hayo yanadumu katika vizazi vinne kutoka 20:5, yoeli1:3
MATOKEO YA MAAGANO KATI YA SHETANI NAMWANADAMU:
1). Magonjwaya kurithi
2). Matukiomabaya ya kurithi kama vile ajali katika mtindo fulani, kupata ukilema,majanga
ya kufanana yanayojirudia rudia katika kizazi fulani..n.k
3). Kuishisehemu/mji mmoja tu ukoo mzma.
4).
Kuvunjika kwa ndoa kwa watu wa vizazi vya ukoo husika.
5). Kufanyakazi moja tu hatakama inawafanya kuwa maskini,,,,mfano....kama mwanzilish wauko alikiri kwa kinywa chake kuwa yeye na uzao wake kazi yao n kilimo cha jembela mkono tu, au n wapiga debe tu n.k
6).
Kutofanikiwa katika ajira, masomo na shughuli zingine( kama mmoja kati ya
waanzilishi wa ukoo husika aliudhiwa na kutamka kuwa"na tuone kama
watafanikiwa" ambayo n maagano katika maneno.
FAIDA ZA MAAGANO KATI YA MUNGU NAMWANADAMU:
1).Utabarikiwakama vile mjini, mashambani, utoKapo, Uingiapo n.k
2). Uzao watumbo lako utabarikiwa,
3).kapu lakola kukandia (maana nyumba yako haitaon Njaa kamwe.
4).utaheshimishwan.k
Yoeli 2:12,torati 28
SIFA ZA MAAGANO
Maagano
lazima yawekwe kwa gharama kubwa na pia hulindwa kwa gharama pia.
Kwa mfano
maagano kati ya koo zetu za kiafrika na shetani kupitia mawakala wake kama vile
mawe, milima,miti mikubwa,vibuyu na masanamu, yaliweza kuwekwa kwa kutumia
sadaka ambazo n kama vile damu ya wanyama, fedha, vyakula, pombe, maneno ya
kujifunga n.k
Hapowakisaidiwa kupata mvua, mavuno mazuri na kuishi salama kumbe huo ulikuwa nubatili wa shetani na mtego wa kuzinasa koo zetu katika utawala wake
TOFAUTI KATI YA MAAGANO BAINA YAMUNGU NA SHETANI :
1).Aganokati ya shetani na Mwanadamu:
- Faida zakehudumu muda mfupi na madhara yake n ya muda mrefu zaidi.
- lengo lake
n kuzima mafanikio ya mwanadamu kwani anajuwa ukifanikiwa utaweza kufanya mamb
ya kumdharirisha kama vile kujenga nyumba za ibada, kusaidia wajane,
kutojihusisha na dhamb kama vile dhuluma, wizi ni
2)sifa
zaAgano kati ya mwanadamu na Mungu.
- Faida zake
hudumu milele hata milele.
-). Hufanywa
kwa hiari na uhuru wa kuchagua
-). Daima
hulinda utakatifu wa Mungu.
Kama vile
ambavyo nchi haiwez kukaa bila uongozi na hivo hivo ukoo/familia haiwezi kukaa
bila uongozi:
Kwahio ni
muhimu kujitambua kuwa nyie mupo katika uongozi wa nan ?? N Mungu au shetani??
Kama hamuridhik na uongoz wa roho moja kati ya hizo ndipo harakti za kuvunja
mmoja na kujenga mwingine huanza mara moja kisha wahusika waendelee mbele
katika maisha yao ya ndoa,kiuchumi,kisiasa na mengine yenye mafanikio na baraka
tele.
Bila shaka
watu huvunja uongozi wa shetani na kujenga uingozi wa kimungu katika
koo/familia zao!
namna ya
kuvunja maagano ya kishetani/mizimu.
1). Hatua ya
kwanza lazima wahusika wa ukoo huo wawepo na kama sio wote wawepo hata
wawakilishi wake wakiume kwa maana urithi upo kwa ukoo wa baba na sio mama …Daniel
9, nehemia1:1...,
2). Kukiri
kwa vinywa vyenu kuwa mumetenda uovu mwingi kwa kumtegemea shetani/mizimu na
sio Mungu wa mbinguni mukitaja na hayo yaliofanywa kwa wakati huo kama
mulisimuliwa au munakumbuka.
3). Kusogeza
sadaka toka katika vitu vyenu mulivovipata kiharali kama vile pesa,sehemu ya mazao
yenu kama mchele,mahindi mihogo n.k kwani babu zetu walitumia hivyo kuweka
maagano na shetani ilaa sisi tunavikusanya leo kwajili ya kuvunja. Pia ipo
sadaka kubwa kupita zote nayo n damu ya Yesu. Munatakiwa kuiita kwa imani ili
ishuke...hivo itapendeza kama wote au baadhi yenu mutakuwa mumefunga na
kujitakasa. Hiyo damu ya yesu itatumika kuvunja na kubomoa ufalme wa mizimu.
NB:zingatia
hili....ni muhimu kabla watu hawajafunga ndoa, wavunje maagano kutoka kila
pande, upande wa Mwanaume na mwanamke pia! Ili ndoa iwe yenye mafanikio!
MAOMBI NA MAOMBEZI
PIGA 0714890889
WHATSAP: 0762756542
MUNGU AKUBARIKI SANA.
0 Comments